• ZEAS
  • EMIS
  • E-OFFICE
  • AJESR
  • ZanVibali
MOEVT
  • Home
  • About Us
  • News and Events
  • Staff Mail
  • Contact Us
  1. Vous êtes ici :  
  2. Accueil
  3. News and Events

MOEVT NEWS&EVENTS

MASHIRIKIANO MAZURI NA WADAU MBALI MBALI KATIKA SEKTA YA LEO NI NJIA MOJA YA KULETA MAGEUZI YA ELIMU ZANZIBAR

Détails
21 septembre 2023
414

Amesema hayo Meneja Rasilimali watu Tawala na Mipango Bi. Khadija Masoud Haji ambae pia  kaimu Mkurugenzi wa bodi ya Huduma za Maktaba,  akizungumza na Balozi wa Marekeni nchini Tanzania huko ofisini kwake  Mjini Unguja.

Amesema, Ili kuweza kusonga mbele katika Sekta ya Elimu basi ipo haja ya kuwa na mashirikiano mazuri na wadau mbali mbali wa Elimu.

Amesema, Bodi ya huduma za Maktaba Zanzibar, bado inahitaji mashirikiano ya kutosha ikiwemo upatikanaji wa Vifaa ili kuweza kutoa huduma bora kwa jamii.

Lire la suite...

UZINDUZI WA TAMASHA LA 59 ELIMU BILA YA MALIPO MWAKA 2023 KISIWANI PEMBA

Détails
20 septembre 2023
576

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib, amezindua rasmi tamasha la elimu bila ya malipo, na kuwataka wanamichezo kufanya michezo kwa amani, utulivu na mshikamano.


Amesema kuwekwa kwa Wanafunzi kutoka Mikoa yote mitano ya Zanzibar, kukaa sehemu moja kunapelekea kujuana, kuendeleza amani na mshikamano baina yao.


Mhe.Salama  ameeleza hayo katika viwanja vya michezo Chuo cha mafunzo ya amali Vitongoji Wilaya ya Chake Chake, wakati wa uzinduzi wa tamasha la 59 elimu bila ya malipo mwaka 2023 Kisiwani Pemba.


“Sisi viongozi wenu munaotuona hapa tupo kitu kimoja, sasa na nyinyi wanafunzi kuwepo kwenu hapa kutoka maeneo tafauti ni kuendeleza umoja, amani na mshikamano ndani yake,”amesema.


Aidha mkuu huyo amesema michezo ni afya, hujenga umoja na heshima, hivyo kushiriki michezo kwa wanafunzi isiwe sababu ya kwenda kinyume na maadili ya kizanzibari.

Lire la suite...

MKURUGENZI IDARA YA ELIMU SEKONDARI AKUTANA NA WALIMU WAKUU WA SKULI ZENYE WANAFUNZI WENGI WA KIDATO CHA NNE

Détails
14 septembre 2023
623

Serikali kupitia wizara ya elimu inafanya kila jitihada ili kuhakikisha inaondosha kabisa alama ya zero kwenye  matokeo ya kidato cha nne.

Amesema hayo Mkurugenzi Idara ya Elimu Sekondari Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar bi Asya Iddi Issa wakati wa mkutano na Walimu Wakuu wa Skuli zenye Wanafunzi wengi wa kidato cha nne katika ukumbi wa Mikutano wa Mazizini Unguja. 


Akizitaja skuli ambazo  zinaongoza kuwa na wanafunzi wengi amesema ni skuli ya  Mwanakwerekwe C 410, Mtopepo  416, Kinuni 400 , na Nyerere 483.


Amesema idara yake ipo sambamba na Walimu hao ili kuendelea na mikakati ya kuhakikisha  Skuli hizo nazo zinaondoa kabisa alama ya zero.

Lire la suite...

KATIBU MKUU AKUTANA NA WATENDAJI WAKE

Détails
14 septembre 2023
572

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bwana Khamis Abdulla Said  amesema Wizara ya Elimu ndio yenye dhamana ya kuhakikisha inaandaa vijana wa Taifa lao. Ameyasema hayo wakati alipokutana na watendaji wa Wizara hiyo huko Mazizini  Unguja.                 

Amesema Elimu ndio suala la Msingi katika Maendeleo ya kila Taifa,hivyo ni wajibu wa kila mtendaji kuhakikisha anafanya kazi kwa bidii na maarifa ili Taifa lizalishe wataalamu wazalendo.                        

Cialis är ett av de mest efterfrågade läkemedlen när det gäller behandling av erektil dysfunktion, köpa cialis på nätet i Sverige Bonus gratis piller.

Amesema Serikali itahakikisha kwamba kila mwananchi anapata fursa ya Elimu .

Akizungumzia  suala la miundombinu  ya Elimu,amesema atahakikisha kuwa kila mtu anahusika ili malengo hayo yafanikiwe.

Viagra - den första och mest populära medicinen utvecklad mot utvecklingen mot erektil dysfunktion Viagra pris, även kallat erektionsproblem.

Lire la suite...

HAFLA YA UFUNGUZI WA MAFUNZO YA HATUA YA KWANZA YA KUWAANDAA WANAFUNZI WA AFYA

Détails
12 septembre 2023
646

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Ali Abdulgulam Hussein  amesema kuwaandaa Wanafunzi kimasomo  kutapelekea kuzalisha wataalamu wenye ufanisi katika fani mbalimbali nchini.

Amesema hayo wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo  ya hatua ya kwanza ya kuwaandaa Wanafunzi wa  afya  huko  Zanzibar school of health ZSH Kwa Mchina Mwanzo  Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

Amesema kumuandaa  Mwanafunzi  mapema kimasomo ni kumjengea mustakabali mwema katika maisha yake ya Chuo Kwa kipindi chote Cha masomo.

Aidha Mhe Gulam amesema, Wizara ya Elimu kupitia Bodi ya Mikopo iko mbioni kurekebisha Sheria za mkopo ili na wanafunzi wa diploma na waweze kunufaika na mikopo hiyo. Amesema hatua hiyo itasaidia vijana wengi nao kuweza kutumia fursa za masomo.

Lire la suite...

Page 8 sur 19

  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12

Contact Details

P.O.Box 394 Mazizini, Zanzibar
+255 24 223 2827
info@moez.go.tz

Main Menu

  • Home
  • About Us
  • News and Events
  • Staff Mail
  • Contact Us

Get in Touch

P.O.Box 394 Mazizini, Zanzibar
info@moez.go.tz

Our Institute

  • Kwarara Media Education Centre (KMEC)
  • The State University of Zanzibar (SUZA)
  • Vocational Training Authority(VTA)
  • Zanzibar Higher Education Loan Board(ZHELB)
  • Karume Institute of Science and Technology(KIST)
  • Zanzibar Examination Council(ZEC)
  • Zanzibar Institute of Education(ZIE)

External Links

  • Ministry of Education, Science and Technology (MOE)
  • The National Examination Council of Tanzania (NECTA)
  • The National Council for Technical Education (NACTE)
  • Tanzania Commission for University (TCU)
© MoEVT. Designed by ICT-Department.