• ZEAS
  • EMIS
  • E-OFFICE
  • AJESR
  • ZanVibali
MOEVT
  • Home
  • About Us
  • News and Events
  • Staff Mail
  • Contact Us
  1. Vous êtes ici :  
  2. Accueil
  3. News and Events

MOEVT NEWS&EVENTS

UFUNGAJI WA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WAALIMU WA KITUO CHA ELIMU MBADALA WINGWI YALIOTOLEWA NA WAKUFUNZI KUTOKA TUME YA TAIFA UNESCO

Détails
2 octobre 2023
1614

Afisa Mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Mwalimu Mohamed Nassor Salim amekipongeza  Kituo cha Elimu mbadala Wingwi kwa kutoa maarifa juu ya changamoto zinazoikabili jamii hali inayotoa hamasa kwasababu wanaungana na sera za nchi katika kuongeza fursa za kupata ajira.

В современной Украине мгновенный кредит пользуется широкой популярностью среди заемщиков, которые предпочитают деньги до зарплаты.


Amesema hayo wakati wa ufungaji wa Mafunzo ya Siku mbili kwa Waalimu wa Kituo hicho yaliotolewa na Wakufunzi kutoka Tume ya Taifa UNESCO, katika Ukumbi wa Mikutano wa kituo hicho  huko Wingwi Mkoa wa Kaskazini  Pemba.

“Naamini kabisa kuwa mafunzo mliyoyapata yataboresha kwa kiwango kikubwa utendaji wenu wa kazi na kufanya kituo hiki kutekeleza kwa weledi jukumu lake muhimu sana la kuandaa vijana watakaoweza kujiajiri kwani  jukumu mlilonalo ni kubwa sana kwa ustawi wa maendeleo ya nchi,” Amesema  Mwalimu Mohammed. 

Взять на выгодных условиях онлайн микрозайм на карту без отказа в Украине или другой финансовый продукт от МФО.


Aidha amebainisha kuwa Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Stadi yanagusa eneo muhimu sana la vijana, kwani vijana  kupata elimu hiyo itawawezesha kuwa na aina mbali mbali za ujuzi katika utendaji kazi.

Lire la suite...

MAHAFALI YA 11 YA KIDATO CHA NNE YALIOFANYIKA BAGAMOYO

Détails
2 octobre 2023
1428

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar amewashauri, wazazi na  walezi wa skuli ya sekondari Wanawake ya Luther ya Bagamoyo, kuwa makini na malezi ya wao.


Akitoa kauli katika hutuba iliyosomwa kwa niaba yake na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Abdugulam Hussein, wakati akizungumza katika mahafali ya 11 ya kidato cha nne yaliofanyika Bagamoyo.


Amesema mambo ya utandawazi na mmong’onyoko wa maadili, umesababisha vijana wengi kupata  matatizo ya afya akili na ukosefu wa nidhamu.

Гроші онлайн на картку по всій Україні. Для нових клієнтів під 0,01% на день. Отримати кредит 0 відсотків на карту банку.


Amesema hali hiyo huchangia kwa kiasi kikubwa kujiingiza kwenye makundi ya matumizi ya dawa za kulevya, kutojitambua kwa baadhi yao, hivyo kuharibu nguvu kazi ya taifa kwa miaka ya mbele.

Ameongeza kuwa ni vyema kwa wazazi kuwashika mkono uongozi kwa kuwaleta watoto kwenye skuli hiyo ili waweze kutimiza malengo yao  ya kitaaluma.

Позика без відмови у стислі терміни та кредит на картку без перевірок в Україні. Весь процес відбувається онлайн в Інтернеті.

Lire la suite...

MKUTANO WA SIKU MOJA WA KUANDAA MPANGO KWA ZANZIBAR

Détails
27 septembre 2023
1548

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imewataka Wadau wa elimu kuwa makini katika kupanga mipango mizuri itakayowasaidia vijana waliokuwa hawamo kwenye mfumo wa elimu kuweza kujitegemea.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt. Mwanakhamis Adam Ameir, ameeleza hayo alipokuwa akifungua mkutano wa siku moja wa kuandaa mpango kwa Zanzibar uliofanyika huko Madina Elbahar Mbweni Wilaya ya Magharib B Unguja.

Amesema, katika kupanga mipango hiyo ni vyema kwa wadau hao kuangalia ujuzi ambao vijana wa Zanzibar wanaoupenda na wenye kuleta tija kwa taifa na hatimae kuweza kujikwamua na tatizo la ajira.

Naibu katibu mkuu huyo amefahamisha kuwa,Serikali ya Awamu ya Nane kipaumbele chake ni dhana ya uchumi wa buluu hivyo ni vyema mipango na mikakati ambayo itapangwa iendane na dhana hiyo Zaidi.

Ogni volta che prendiamo un farmaco usato per trattare la disfunzione erettile Viagra senza ricetta in farmacia. Disfunzione erettile – area problematica ricorrente in molte famiglie.
Beställ potensmedel till bästa pris utan recept. Snabb leverans och rabatter Cialis receptfritt Original från ett onlineapotek i Sverige.

Lire la suite...

UFANYA KAZI KWA BIDII KATIKA UTOWAJI WA TAALUMA KUTASAIDI KULETA MABADILIKO NA MAENDELEO YALIYO BORA KWA TAIFA

Détails
27 septembre 2023
1280

Kufanya kazi kwa bidii katika utowaji wa Taaluma kutasaidi kuleta Mabadiliko na Maendeleo yaliyo bora kwa Taifa.

Amesema hayo katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bw. Khamis Abdulla Said, wakati akifunga mafunzo ya Siku mbili yaliyo andaliwa kwa mashirikiano ya Idara ya Elimu Mbadala na Tume ya Taifa UNESCO kutoka Jamuhuri ya Muungano Tanzania. iliyofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Elimu Mbadala Rahaleo Mjini Unguja.

Amesema, kuna baadhi ya Wakufunzi hawawajibiki ipasavyo jambo ambalo hupelekea kurudisha nyuma maendeleo ya elimu nchini.

Aidha, amewataka Wakufunzi hao waliopatiwa mafunzo kuyatumia ipasavyo kwa kuwapa vijana ujuzi uliobora utakao weza kuwasaidia katika Maisha yao ya Baadae.

 Aidha, Bw. said amelishukuru shirika la Taifa (UNESCO) kwa kuandaa Mradi huo na kuuwasilisha kwa lengo la kutaka kuwaengezea ujuzi Wakufunzi wa Idara ya Elimu Mbadala.

Lire la suite...

UZINDUZI WA MRADI WA KUIMARISHA UBORA WA ELIMU YA LAZIMA ZANZIBAR (ZIQUE)

Détails
27 septembre 2023
1376

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema, Serikali itaendelea kushirikiana na Wadau mbalimbali ikiwemo Benki ya Dunia, kwani wamekuwa wakiunga mkono katika kuwaletea maendeleo wananchi wake.

Akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa kuimarisha ubora wa elimu ya Lazima  Zanzibar (ZIQUE).Hafla ambayo imefanyika katika kiwanja cha skuli ya Salim Turky Mpendae Mjini Unguja, 

Amesema, WB kwa muda mrefu imekuwa ikisaidia kwenye maeneo mbalimbali hasa katika eneo la huduma za jamii ikiwemo Miradi ya 'Zanzibar Basic Education Improvement Poroject' (ZABEIP) iliogharimu dola za kimarekani milioni 42, mradi wa 'Zanzibar Improving Student Prospects' (ZISP) dola za kimarekani milioni 35 pamoja na mradi wa 'Zanzibar Improving Qualit of Basic Education'  (ZIQUE) uliotengewa jumla ya dola za kimarekeani milioni 50.

Amesema, Miradi hiyo pamoja na miradi mengine imeleta mafanikio makubwa ikiwemo kuimarisha mazingira ya kujifunzia ya kufundishia yaliyopelekea kuimarika kwa ufaulu wa wanafunzi katika mitihani yao ya taifa hasa katika masomo ya sayansi.

Aidha amesema, miradi hiyo imesaidia kufikisha huduma ya elimu katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo katika visiwa vidogo vidogo Unguja na Pemba ikiwemo Tumbatu Kojani, Fundo, na Kisiwapanza.

"Mradi huu umekuja wakati muafaka ambao Serikali inajipanga kutekeleza mageuzi makubwa ya sekta ya elimu kama yalivyopendekezwa na ripoti ya kikosi kazi" amesema.

Lire la suite...

Page 6 sur 19

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10

Contact Details

P.O.Box 394 Mazizini, Zanzibar
+255 24 223 2827
info@moez.go.tz

Main Menu

  • Home
  • About Us
  • News and Events
  • Staff Mail
  • Contact Us

Get in Touch

P.O.Box 394 Mazizini, Zanzibar
info@moez.go.tz

Our Institute

  • Kwarara Media Education Centre (KMEC)
  • The State University of Zanzibar (SUZA)
  • Vocational Training Authority(VTA)
  • Zanzibar Higher Education Loan Board(ZHELB)
  • Karume Institute of Science and Technology(KIST)
  • Zanzibar Examination Council(ZEC)
  • Zanzibar Institute of Education(ZIE)

External Links

  • Ministry of Education, Science and Technology (MOE)
  • The National Examination Council of Tanzania (NECTA)
  • The National Council for Technical Education (NACTE)
  • Tanzania Commission for University (TCU)
© MoEVT. Designed by ICT-Department.