• ZEAS
  • EMIS
  • E-OFFICE
  • AJESR
  • ZanVibali
MOEVT
  • Home
  • About Us
  • News and Events
  • Staff Mail
  • Contact Us
  1. Vous êtes ici :  
  2. Accueil
  3. News and Events

MOEVT NEWS&EVENTS

UZINDUZI WA PROGRAMU YA UPISHI SALAMA KWA KUTUMIA GESI

Détails
6 mars 2024
544

Mhe.Lela Muhamed Mussa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar amesema , Wizara itaendelea kushirikiana na Wadau mbali mbali wa Elimu ili kuleta maendeleo bora  katika sekta hiyo.

Lire la suite...

NELSON MANDELA YAPONGEZWA MUUNDO MZURI WA UTOAJI ELIMU

Détails
6 mars 2024
566

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar  Mhe. Lela Muhamed Mussa ameipongeza Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Arusha kwa muundo mzuri wa utoaji wa elimu ambao unazalisha wataalamu wenye weledi unaowezesha wahitimu kuweza kujiajiri mara baada ya kuhitimu.

Mhe. Lela amesema hayo machi 5, 2024  alipotembelea Taasisi hiyo kwa lengo la kujifunza na kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa  ikiwa ni  kuona namna ya taasisi na vyuo vya elimu ya juu nchini Tanzania vinavyojiendesha.

“Nampongeza Uongozi  wa Taasisi kwa uwekezaji mkubwa mlioufanya na kitu kikubwa nilichojifunza katika taasisi hii ni kujikita katika kufanya tafiti na sisi tumekuja kujifunza ili kuleta magaeuzi kupitia chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) ili kuangazia taasisi zetu ambazo tunaweza kuzikita katika masuala ya tafiti ili kutatua changamoto mbalimbali za jamii” amesema Mhe.Lela

Lire la suite...

WAZIRI LELA ALIPONGEZA BARAZA LA MITIHANI ZANZIBAR

Détails
28 février 2024
637

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa, amefanya ziara ya ndani katika Ofisi za Baraza la Mitihani la Zanzibar, huko Vuga Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

Lire la suite...

CANADA KUISAIDIA TANZANIA KATIKA SEKTA YA ELIMU

Détails
23 février 2024
584

Balozi wa Canada nchini Tanzania Mhe.Kyle Nunas amesema Canada itaendelea kushirikiana na kuisaidia Tanzania  hasa katika sekta ya elimu.

Lire la suite...

KIST - VETA ZATILIANA SAINI MoU

Détails
21 février 2024
365

Waziri wa Elimu  na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa  ameshiriki katika hafla ya  utiaji saini 
Makubaliano (MoU) baina ya Karume Institute Of Technology (KIST) na Vocational Education and Training Authority (VETA) katika Ukumbi wa Mkutano wa  KIST Mbweni - Mkoa wa Mjini Magharib.

Lire la suite...

Page 3 sur 19

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10

Contact Details

P.O.Box 394 Mazizini, Zanzibar
+255 24 223 2827
info@moez.go.tz

Main Menu

  • Home
  • About Us
  • News and Events
  • Staff Mail
  • Contact Us

Get in Touch

P.O.Box 394 Mazizini, Zanzibar
info@moez.go.tz

Our Institute

  • Kwarara Media Education Centre (KMEC)
  • The State University of Zanzibar (SUZA)
  • Vocational Training Authority(VTA)
  • Zanzibar Higher Education Loan Board(ZHELB)
  • Karume Institute of Science and Technology(KIST)
  • Zanzibar Examination Council(ZEC)
  • Zanzibar Institute of Education(ZIE)

External Links

  • Ministry of Education, Science and Technology (MOE)
  • The National Examination Council of Tanzania (NECTA)
  • The National Council for Technical Education (NACTE)
  • Tanzania Commission for University (TCU)
© MoEVT. Designed by ICT-Department.