• ZEAS
  • EMIS
  • E-OFFICE
  • AJESR
  • ZanVibali
MOEVT
  • Home
  • About Us
  • News and Events
  • Staff Mail
  • Contact Us
  1. You are here:  
  2. Home
  3. News and Events

MOEVT NEWS&EVENTS

WAANDISHI CHIPUKIZI KUPEWA TUNZO - SUZA

Details
10 May 2025
82

Serikaali ya Mapinduzi Zanzibar inaendelea kuchua hatua mbali mbali kuhakikisha waandishi wa habari wanafanyakazi katika mazingira mazuri ili kufikisha ujumbe kwa jamii na kuchochea maendeleo.

Read more …

MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MAAFISA HABARI - WEMA

Details
10 May 2025
100

Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na  Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Bi. Fatma Mabrouk Khamis amesema Maafisa Habari na Uhusiano  wanadhamana ya kuonesha na kuelezea maendeleo yaliyofikiwa katika Wizara zao.

Read more …

UFUNGUZI WA SKULI YA KISASA - MAZIWANG'OMBE

Details
21 April 2024
799

Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano waTanzania Dkt. Philip Isdori Mpango Amesema baada ya miaka 60 ya Muungano, Tanzania inajivunia maendeleo katika sekta mbali mbali ikiwemo Sekta ya Elimu ambayo inatolewa bila ubaguzi kwa wote.

Read more …

UFUNGUZI WA MKUTANO WA TATHMINI WA MWAKA - ELIMU

Details
16 April 2024
489

Utekelezaji wa Mikutano ya Tathmini ya Elimu ya Zanzibar ni kilelezo tosha cha Serikali inayozingatia misingi ya utawala bora katika kuwaongoza na kuwaletea maendeleo wananchi wake katika nyanja mbali mbali ikiwemo Sekta ya Elimu.

Read more …

WIZARA YA ELIMU YAMUOMBEA DUA KATIBU MKUU WA ZAMANI.

Details
07 March 2024
464

Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar pamoja na wafanyakazi wote Leo tarehe 7/03/2024, wamesoma hitma ya kumuombea dua Aliye kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuanzia Mwaka 1964 hadi 1965 ambae pia ni Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaj Mzee Ali Hassan Mwinyi. iliyo fanyika katika Mskiti wa Jamii _Zej-Bar huko mazizini - Unguja.

Read more …

Page 2 of 19

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10

Contact Details

P.O.Box 394 Mazizini, Zanzibar
+255 24 223 2827
info@moez.go.tz

Main Menu

  • Home
  • About Us
  • News and Events
  • Staff Mail
  • Contact Us

Get in Touch

P.O.Box 394 Mazizini, Zanzibar
info@moez.go.tz

Our Institute

  • Kwarara Media Education Centre (KMEC)
  • The State University of Zanzibar (SUZA)
  • Vocational Training Authority(VTA)
  • Zanzibar Higher Education Loan Board(ZHELB)
  • Karume Institute of Science and Technology(KIST)
  • Zanzibar Examination Council(ZEC)
  • Zanzibar Institute of Education(ZIE)

External Links

  • Ministry of Education, Science and Technology (MOE)
  • The National Examination Council of Tanzania (NECTA)
  • The National Council for Technical Education (NACTE)
  • Tanzania Commission for University (TCU)
© MoEVT. Designed by ICT-Department.