- Details
- 574
Balozi wa Canada nchini Tanzania Mhe.Kyle Nunas amesema Canada itaendelea kushirikiana na kuisaidia Tanzania hasa katika sekta ya elimu.
Balozi wa Canada nchini Tanzania Mhe.Kyle Nunas amesema Canada itaendelea kushirikiana na kuisaidia Tanzania hasa katika sekta ya elimu.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa ameshiriki katika hafla ya utiaji saini
Makubaliano (MoU) baina ya Karume Institute Of Technology (KIST) na Vocational Education and Training Authority (VETA) katika Ukumbi wa Mkutano wa KIST Mbweni - Mkoa wa Mjini Magharib.
Mkurugenzi Idara ya Elimu Maandalizi na Msingi Bi.Fatma Mode Ramadan amewataka Walimu Wakuu wa Skuli zote za Msingi na Sekondari kusimamia majukumu yao ili kuleta maendeleo mazuri .
Naibu katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt.Mwanakhamis Adam Ameir amesema, katika kusimamia vizuri majukumu ya kila siku ipo haja ya kuendelea kupatiwa mafunzo mbalimbali yanayoweza kuwajengea uwezo Walimu kufikia malengo ya sekta ya Elimu nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bw.Khamis Abdulla Said leo tarehe 18/01/2024 amekutana na kufanya mazungumzo na walimu Wakuu wa Skuli za Maandalizi, Msingi na Sekondari wa Mjini Magharib katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Haile Selassie Iliyoko Wilaya ya Mjini Unguja.