
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Akiwa na wageni kutoka Vyuo mbalimbali walioshinda usaili wa masuala ya Anga (Astronomy) waliopata ufadhili kwenda kusoma nje (Oman na Marekani). Baada ya kumaliza kikao Cha pamoja hapo Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Mazizini, Zanzibar.