
Naibu katibu Mkuu Taaluma,Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi. Mwanakhamis Adam Ameir Pamoja na Mudrick Suraga Waziri wa Utalii na Mambo ya kale katika kongamano la Kimataifa kitaaluma lililofanyika leo tarehe 22 August 2025 katika Ukumbi wa Indian Institute of Technology Madras linalohusiana na mambo ya kiuchumi, Maendeleo, Siasa, Mipango na Utalii
lililotayarishwa na African School of Economy likijumuisha watafiti mbalimbali kuwasilisha mada tofauti tofauti.