SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR.
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar inatangaza nafasi ya masomo nchini Urusi katika Vyuo mbalimbali kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza, Uzamili na Uzamivu kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
Maombi yatumwe kupitia tovuti: https://education-in-russia.com. si zaidi ya tarehe 01 Januari, 2025.
Muombaji anatakiwa atume nakala laini (soft copy) ya fomu ya maombi Pamoja na nakala ya vyeti vyake alivyomaliza masomo kupitia barua pepe zilizoainishwa hapo chini.
Imetolewa na;
Katibu Mkuu
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,
S.L.P 394
Mazizini
Zanzibar.
Barua Pepe: