SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI

 

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar inatangaza nafasi za masomo za muda mfupi zilizotolewa nchini India kwa mwaka wa masomo 2023/2024.

Kwa maelezo Zaidi na jinsi ya kufanya maombi fungua tovuti ifuatayo:  

https://www.itecgoi.in

Muombaji anatakiwa awe na umri wa miaka 25 mpaka 45 na awe na uzoefu wa miaka mitano ya kazi.

 

Imetolewa na:

Katibu Mkuu,

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,

P.O.BOX 394

Mazizini

Zanzibar.