Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Muhamed Mussa amesema michezo ni njia moja yakuleta maendeleo nchini.

Amesema hayo wakati wa kufunga Michuano ya ZAHILFE Cup kwa Upande wa Chuo cha Mwalimu Nyerere na chuo cha Zanzibar (ZU) yaliyo fanyika Katika Uwanja wa Mao Zedong Mkoa wa Mjini Magharib Unguja.

Amesema , Vijana wanapokusanyika pamoja kwa lengo la kushirikiana ili kuhakikisha wanaendeleza gurudumu la maendeleo kwa taifa lao.

Ni kan köpa Cialis i Sverige billigt via vår Svenska hemsida med snabb leverans Original Cialis utan recept i Sverige. Beställ Cialis utan recept online från ett svenskt apotek.

Amesema, Michezo huleta umoja , amani na mashirikiano hivyo ni vyema kufata kanuni za michezo ili kuhakikisha michuano hiyo inaendelea kuleta maendeleo nchini.

Köpa Potensmedel Receptfritt Online Lagligt till Bästa Pris köpa Cenforce i Sverige. Snabb leverans och diskret förpackning garanteras.

Mapema  Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar bwana Khamis Abdulla Said amewashukuru washughulikiaji wa Michuano hiyo kwa kumaliza salama ,Kwani  Kufanya hivyo kumeitia moyo Wizara kwa kujipinga vyema mwakani kwa kuhakikisha inatoa mashirikiano mazuri katika kuendeleza  Michuano hiyo. Licha ya kuwa na msingi mzuri wa elimu, nimeamua kuchunguza zaidi dunia ya kubashiri michezo kwa kutumia simu yangu. Nilishangazwa na jinsi 10Bet app ilivyonipa mbinu rahisi na nafasi nzuri ya kubashiri matokeo ya kamari za michezo mikubwa duniani. Ni kama kuwa mwamuzi wa michezo, ukitoa maamuzi sahihi na kuwa na uwezo wa kujiongezea kipato. Huku Tanzania na Afrika Kusini, hatuachi kupokea taarifa za kusisimua kutoka kwenye michezo mbalimbali. Kwa kutumia 10Bet app, nina nafasi ya kufaidika na maarifa yangu ya michezo na kujipatia mapato ya ziada.

Nae Mwenyekiti wa Zahilfe ndugu  Makame Khamis Makame amesema mashiindano ya Zahilfe Cup ya Mwaka 2023 ni Chachu  ya mashirikiano ya vyuo mbalimbali ya kuhakikisha wanaleta maendeleo endelevu Katika Taifa lao.

Tillfredsställer vi män som vill köpa Viagra online i Sverige köpa Original Viagra i Sverige samt även andra läkemedel mot erektil dysfunktion.

 Katika mchuano huo wa fainali timu ya Zanzibar University iliibuka kidedea kwa Magoli Mawili kwa sifuri dhidi ya timu ya chuo cha kumbukumbu  yq Mwalim Nyerere  kampas ya Karume ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni wasomi ,uchumi wa buluu na Zanzibar ya kijani  inawezekana.