Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa amesema, kuwepo kwa Wahandisi Wakike katika nchi kunapelekea kwenda sambamba na Mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia nchini.

Ameyasema hayo wakati wa Ufungaji wa Mkutano wa 8 wa Wahandisi Wanawake, 2023- Uliondaliwa na Taasisi ya Wahandisi, Tanzania Kitengo cha Wanawake, uliyo fanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Bweni Unguja.

Aidha, amewaomba Wahandisi Wakike kutumia Fursa zinazotolewa na na Serikali.  ikiwemo kusajili Makampuni na kujiajiri kupitia Ukandarasi, kwani kufanya hivyo kutasaidia Maendeleo ya nchi kwa Ujumla.

Aidha, ameyapongeza Makundi mbali mbali ya Wahandisi Wanawake kwa Utendaji wao Mzuri, wakiwemo best CEO, best Researcher, best Engineer leader, best Company na best  Project. Kwa kupata zawadi inayojulikana kama "Mama Mhandisi Awards".

Hata Hivyo, Ameitaka Tasisi ya Wahandisi kupokea mapendekezo yote yatokanayo na Mkutano huo na kufanya jitihada ya kuyawasilisha Serikalini ili yafanyiwe kazi kwa maendeleo ya nchi. Dad Crush pornlux.com here at pornlux.com.

Samamba na hayo. Mhe. Lela amewaomba wageni kutoka nje ya nchi  Zanzibar, Kutembelea Sehemu mbali mbali za kitalii katika kisiwa cha Zanzibar ili kuweza kujifunza mambo mbali mbali.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar- ZAWA, Mhandisi Dkt. Salha Mohammed Kassim akitoa neno la Shukurani amesema, amefarajika Sana kuwepo kwa Mkutano huo kwani  ni njia moja wapo ya kujifunza mambo mbali mbali ya Kimaendeleo yanayoenda Sambamba na Mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia.


"Katika Maonesho hayo Skuli ya Loyola Sekondari imepata Ushindi wa 3, Hamamni Mshindi wa 2 na 
 Kisutu Sekondari Mshindi wa 1. Kwa Upande wa Vyuo Vikuu, Chuo cha Dar-esalaam Institute of Technology (DIT)  imepata nafasi ya 3, National Institute of Transport (NIT) nafasi ya 2 na Nafas ya kwanza ngazi ya Chuo ni Mbea University."