Bank ya NMB imetakiwa  kuendelea kuwatunza walimu kwa kuwapa mashirikiano mazuri ya kihuduma pamoja na kutoa  masuluhisho mbali mbali ya kifedha.

Amesema hayo Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein kwa niaba ya Waziri wa Elimu Zanzibar Mhe. Lela Muhammed Mussa, wakati akifungu semina ya siku moja ya shamra shamra za kufikia kilele cha siku ya Waalimu Duniani iliyo fanyika katika ukumbi wa  Sheikh Iddrisa Abdul-Wakil Kikwajuni Mjini Unguja .


Amesema, jitahada za Bank ya NMB , ni nzuri na zinaunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya Nane chini ya Ungozi wa Rais Mwinyi Katika kuhakikisha wazanzibari waliowengi hasa Waalimu wanajumuishwa katika mfumo rasmi wa kifedha ili kuinua vipato vyao vya kiuchumi.

Як взяти без відсотків гроші в борг на картку в Україні, якщо звертаєтеся вперше в МФО? Уважно читайте акційні умови.

Amesema, kwa upande wa Bank za akiba na Mikopo, NMB ni miongoni mwa Bank zinazoongoza kwa kubuni bidhaa zinazo lenga mahitaji ya kila makundi ya wateja katika soko hususan waalimu na jamii kwa ujumla.

Amesema,  warsha hiyo kwa Zanzibar imelenga kwenda maeneo mengi nchini,  na kuwafikia Waalimu zaidi ya  9,000.

Hata hivyo,  ameishukuru Bank ya NMB pamoja na Uongozi wa juu wa Bank hiyo kwa kuona umuhimu wa kuwakutanisha waalimu katika kuadhimisha siku hiyo.

Aidha  amewapongeza waalimu, wakuu wa skuli mbaki mbali na wadau  wote wa elimu kwa kuitikia wito, kwani ni fursa ya kuweza kupata huduma mbali mbali kwa uharaka zaid.

Nae katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Khamis Abdulla Said Ameipongeza Bank hiyo kwa kuandaa siku maalum ya siku ya Walimu ikiwa ni sehemu ya shamra shamra kufikia maadhimisho ya kilele cha siku ya Walimu Duniani

МФО видають позики без відсотків на картку, отримати дуже просто. Заявки приймаються цілодобово.

Aidha amezishauri Bank nyengine kufata utaratibu huo kwani kufanya hivyo kutaleta tija nzuri katika jamii husika.

Kwa upande wake Meneja Muandamizi anaehusika na Shughuli za Bima Ndugu. Gorondo Chacha amesema, kwa kutambua umuhimu wa nafasi ya waalimu kwa Bank na taifa kwa ujumla, NMB imetenga siku maalum kwa kuzungumza nao ili kuweza kuzijadili fursa mbalimbali pamoja na kuwapa elimu ya kifedha itakayo weza kuwasaidia kujikwamua kiuchumi.

Amesema, Kupitia warsha hiyo,  Bank ya NMB inategemea kuleta mrejesho wa kupokea mawazo mbali mbali kwa waalimu hao juu ya huduma zinazotolewa katika Bank hiyo, ambayo yataweza kusaidia kuimarisha huduma hizo.

Деякі банки вирішили видавати мікрокредит онлайн без відмови. Але конкурувати з мікрофінансовими організаціями їм дуже складно.


Katika kuadhimisha siku ya Walimu Duniani mwaka huu  Kaulimbiu ni "Mwalimu Spesho-Umetufunza Tunakutunza."

Imetolewa na Kitengo cha Habari na Mawasilino (WEMA).
Tarehe 02/10/2023.