Mkurugenzi Idara ya Elimu Maandalizi na Msingi Bi.Fatma Mode Ramadan amewataka Walimu Wakuu wa Skuli zote za Msingi na Sekondari kusimamia majukumu yao ili kuleta maendeleo mazuri .

 

Hayo ameyasema wakati alipokuwa akizungumza na Walimu Wakuu wa Skuli za Msingi na Sekondari wa Mkoa wa Kusini katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.

 

No comparta el costo de Levitra Original otros en línea, comprar levitra farmacia sin receta en España de forma segura en la farmacia online.

amesema, Walimu wakuu wanajukumu la kusimamia walimu wao katika ufundishaji wa wanafunzi na kuleta maendeleo bora ili kuendana sambamba na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia.

 

amesema, Elimu ya Msingi ndio elimu ya mwanzo inayoweza kumjenga mtoto hivyo walimu wamsingi wajitahidi ili watoto waweze kupata haki yao ya msingi itakayo wasaidia baadae.

Αγοράστε Cenforce χωρις συνταγη στην Ελλάδα, Cenforce από online φαρμακείο. Cenforce 150 Σιλδεναφίλη Citrate Δισκία. Τεράστια Γκάμα Αποτελεσμάτων.

 

amesema, Walimu Wakuu  lazima wawasimamie walimu wao katika kuhakikisha ufundishaji  kwa watoto unaimarika ili  kuweza kuondoa wimbi la watoto wasio jua kusoma na kuandika.

 

Akizungumzia swala la matumizi ya fedha za skuli ,  amesema fedha zote za zinasohusiana na matumizi ya Skuli lazima ziingizwe katika Account za skuli na wakati wa  kutolewa kwa matumizi basi na zitolewe kupitia taratibu ziliopo ili lengo lifikiwe.

Ai credit online urgent, cu aprobare în cel puțin 15 min credit urgent completează cererea de credit 100% online. Analizăm rapid iar tu te poți bucura de bani imediat.

 

 

Pia amewahimiza Walimu Wakuu hao ikifika mwisho wa mwaka lazima wajitahidi kujitahidi kuaandika Ripoti ya maendeleo ya skuli  kufanya hivyo kutawasaidia kujenga umahiri katika kazi zao.

 

Kwaupande wake Mkuu wa Wilaya ya Mkoa wa Kusini Unguja. ndugu. Gallos Nyimbo amewapongeza walimu wakuu hao kwa kufanya jitihada na kupelekea mkoa wa kusini kupata matokeo mazuri.

 

Hivyo amewaomba walimu hao kufanya jitihada ili kuendana sambamba na Serikali ya Awamu ya Nane chini ya Ungozi wa Dkt. Hussein Mwinyi katika kuimarisha Sekta ya Elimu .