Naibu katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt.Mwanakhamis Adam Ameir amesema, katika kusimamia vizuri majukumu ya kila siku  ipo haja ya kuendelea kupatiwa mafunzo mbalimbali  yanayoweza kuwajengea uwezo Walimu kufikia malengo ya sekta ya Elimu  nchini.

Gennemfør vores online konsultation og køb viagra eller sildenafil på dit apotek Viagra pris uden recept på nettet i Danmark. Er det sikkert at bestille Viagra på nettet?

 

Amesema hayo wakati akifunga kikao  cha Tathmini ya utekelezaji wa mradi wa kuimarisha ubora wa Elimu ya Sekondari Zanzibar  katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Ocean view  kilimani Mjini Magharibi Unguja.

 

 

 

Amesema, Mafunzo ya mara kwa mara huengeza ujuzi kwa walimu kuweza kusomesha  kwa bidii.

Hvis du søger Cialis Daily uden recept, er du kun et klik væk Cialis Daily priser. Du kan købe det online uden recept og fra et pålideligt apotek.

 

 

Aidha amesema , Walimu  Wakuu  wao ndio wasimamizi  wakuu ili kuhakikisha Zanzibar itaendelea  kupata matokeo mazuri zaidi.

 

Amesema, ili Taifa liendele kupata matokeo bora zaidi kunahitajika usimamizi mzuri kwa kila mtu kwanzia Mwalimu Mkuu hadi Mwanafunzi.

 

 

Akizungumzia suala la mageuzi ya elimu nchini amesema , inasisitizwa kila Skuli lazma iwe na Tathmini ili kuhakikisha   kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu Amali husika  kutokana na matokeo yake.

 

 

Mapema Mkaguzi Mkuu wa Elimu Zanzibar  Bi. Maimuna Fadhil Abass  amesema ,  kutokana na mafunzo mbalimbali yanayoendelea kutolewa imewasadia sana Walimu na kupelekea kuengaza bidii ili kuhakikisha  lengo la kuondosha zero linafikiwa.

Få diskret levering og pålidelig kundesupport. Bestil nu og oplev forbedret køb Cenforce på apoteket, søger du et apotek hvor du kan købe Viagra online i Danmark.

 

Nae Meneja Muandamizi wa Mradi wa Kuimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari  Zanzibar Ndugu . John Massenza  amesema , kutokana na jitihada za Serikali ya Awamu ya 8 Sekta ya Elimu , inaendelea kuimarika kwa kupata ufaulu mzuri hasa kwa masomo ya sayansi.

 

Amesema , Serikali  imehakikisha inaboresha miundombinu na kuwajengea uwezo wa umahiri Walimu ili kuengeza kiwanga cha ufaulu  nchini.