{"id":2397,"date":"2026-04-09T07:04:25","date_gmt":"2026-04-09T07:04:25","guid":{"rendered":"https:\/\/moez.go.tz\/?p=2397"},"modified":"2026-04-09T07:04:27","modified_gmt":"2026-04-09T07:04:27","slug":"ufunguzi-wa-mkutano-wa-9-wa-tathmini-ya-maendeleo-ya-sekta-ya-elimu-zanzibar-kwa-mwaka-2025","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/moez.go.tz\/?p=2397","title":{"rendered":"UFUNGUZI WA MKUTANO WA 9 WA TATHMINI YA MAENDELEO YA SEKTA YA ELIMU ZANZIBAR KWA MWAKA 2025"},"content":{"rendered":"\n<figure class=\"wp-block-image size-large\"><img fetchpriority=\"high\" decoding=\"async\" width=\"1024\" height=\"535\" src=\"https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2026\/04\/WhatsApp-Image-2026-04-09-at-09.00.21-1-1024x535.jpeg\" alt=\"\" class=\"wp-image-2398\" srcset=\"https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2026\/04\/WhatsApp-Image-2026-04-09-at-09.00.21-1-1024x535.jpeg 1024w, https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2026\/04\/WhatsApp-Image-2026-04-09-at-09.00.21-1-300x157.jpeg 300w, https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2026\/04\/WhatsApp-Image-2026-04-09-at-09.00.21-1-768x401.jpeg 768w, https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2026\/04\/WhatsApp-Image-2026-04-09-at-09.00.21-1-18x9.jpeg 18w, https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2026\/04\/WhatsApp-Image-2026-04-09-at-09.00.21-1.jpeg 1080w\" sizes=\"(max-width: 1024px) 100vw, 1024px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-f89c62ab08a87e2bed67cf79dc16ebf4 wp-block-paragraph\">Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatekeleza mpango wa Compact Pertnership wa mwaka 2023, wenye lengo la kuwasaidia wanafunzi wanaokabiliwa na changomoto ya Ujifunzaji, hususan katika stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-470ac76507cdc423ecd320529d510fab wp-block-paragraph\">Hayo yamesemwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tisa (9) wa Tathmini ya Maendeleo ya Sekta ya Elimu Zanzibar kwa mwaka 2025 uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Madinat al Bahri Mbweni Zanzibar.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-bb494685b0986940f77586bbc883957e wp-block-paragraph\">Amesema Matokeo ya Upimaji wa kujua kusoma, kuandika na kuhesabu ya mwaka 2025, yameonesha wazi kuwa idadi kubwa ya wanafunzi hawajafikia viwango vinavyotarajiwa, hivyo, ipo haja ya kuongeza jitahada zaidi ili kuweze kuitatua changamoto hio.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-e3b832078f5946b5bc927db03f879286 wp-block-paragraph\">Amefahamisha kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kuweka msisitizo mkubwa katika kuimarisha stadi za msingi za ujifunzaji, sambamba na kutambua umuhimu wa stadi za amali yaani ( VOCATIONAL TRAINING ) katika kukidhi mahitaji ya soko la ajira la sasa na baadae ndani na nje ya nchi.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-a2621c487505fee30b724c251c54b976 wp-block-paragraph\">Aidha, Mhe. Hemed amesema Serikali kwa mwaka wa fedha 2025\/2026 imepanga kujenga madarasa 1,000 ambapo kwa sasa hatua hiyo inaendelea kwa kujenga Skuli za Ghorofa 13, katika maeneo mbalimbali nchini, ili kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani na kuondoa mikondomiwili ya uingiaji skuli kwa baadhi ya skuli ambazo bado zinaendelea na utaratibu huo.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-86aaa5617f46611b05d9c79900f6368c wp-block-paragraph\">Kadhalika, Serikali imedhamiria kuajiri walimu 1,500 ili kuboresha uwiano wa walimu na wanafunzi jambo ambalo z linaonesha dhamira ya dhati ya Serikali ya kuimarisha obora wa elimu hapa nchini.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-71d8e25b38cf7fe8bf94e4c796867530 wp-block-paragraph\">Katika Mkutano huo, Mhe. Hemed amewataka washiriki kuendeleza ushirikiano wa karibu zaidi, baina ya Serikali, wadau wa maendeleo, walimu, wazazi na jamii kwa ujumla ili kuhakikisha kila mtoto anapata elimu bora yenye kumuwezesha kumudu stadi za msingi na kumjega kwa maisha yake ya baadae.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-37ba8953cc91dc096c81a2fc3ae90b6d wp-block-paragraph\">Amewasihi kuutumia vyema mkutano huo kwa kujadiliana kwa kina, kubadilishana uzoefu, kutoa mapendekezo na suluhisho la kufikia malengo ya kuwa na wanafunzi wenye uwezo wa kujua kusoma, kuandika na kuhesabu wakiwa katika madarada ya awali<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-8d424802f25bbb728f172555796795ae wp-block-paragraph\">Kwa upande wake Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. LELA MOHAMED MUSSA amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekuwa ikiekeza fedha nyingi katika sekta ya elimu kwa lenho lw kuimarisha na kuboresha miundombinu ya elimu na kuhakikisha wanafunzi wa Zanzibar wanapata elimu bora.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-5d89447bcc438e35ff999878b0a1a5e1 wp-block-paragraph\">Mhe. Lela amefahamisha kuwa kufanyika kwa mkutano huo kunatoa fursa kwa wadau mbalimbali wa sekta ya elimu kufanya tathmini ya mafanikio na changamoto zinazoikabili sekta ya elimu sambamba na kutafuta mbinu bora za kutatua changamoto hizo lakini pia kuimarisha ubora wa elimu nchini.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-cafcfd728d20fc535fdaea29802800bd wp-block-paragraph\">Amesema kupitia mkutano huo mafanikio mbalimbali yamepatikana ikiwemo kujengwa kwa ofisi za elimu kila Wilaya pamoja na kuanzishwa program ya skuli connecting ambayo inaziunganisha skuli mbali mbali katika kufunza na kufundishia.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-c0b564c94439934a43c0631f59cb51ad wp-block-paragraph\">Akizungumza kwa niaba ya Asasi za kiraia zinazofanya kazi Zanzibar chini ya mtandao wa elimu Zanzibar Bwana KAISAR MOHAMMED SAID amesema asasi za kiraia zimekuwa nguzo muhimu katika kuwajengea elimu watoto wa kizanzibari na kuleta mabadiliko ya kweli kupitia program bunifu na mbinu mbalimbali za kujifunzia bila ya kuwasahau wanafunzi wenye mahitaji maalumu.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-f876e8cdae4c498feccf5028b0963f50 wp-block-paragraph\">KaAISAR amefahamisha kuwa msingi wa elimu bora kwa wanafunzi unaanzia kwa kuwa na mashirikiano ya karibu kati ya wazazi, walimu, kamati za skuli na wizara ya elimu ambayo yatatoa matokeo chanya katika kuimarisha sekta ya elimu nchini.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-a294bb53725f1335e54c731282e95c69 wp-block-paragraph\">Amesema Asasi za Kiraia kwa kushirikiana na serikali na wadau wa elimu watahakikisha watoto wote wanapata fursa sawa za elimu na kuwajenga kuwa bora na wenye kukabiliana na changamoto zinapojitokeza.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-72180cf4fad22572011144899e30aac2 wp-block-paragraph\">Imetolewa na Kitengo cha Habari WEMA<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatekeleza mpango wa Compact Pertnership wa mwaka 2023, wenye lengo la kuwasaidia wanafunzi wanaokabiliwa na changomoto ya Ujifunzaji, hususan katika stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu. Hayo yamesemwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tisa (9) wa Tathmini ya Maendeleo ya Sekta ya Elimu Zanzibar kwa mwaka 2025 uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Madinat al Bahri Mbweni Zanzibar. Amesema Matokeo ya Upimaji wa kujua kusoma, kuandika na kuhesabu ya mwaka 2025, yameonesha wazi kuwa idadi kubwa ya wanafunzi hawajafikia viwango vinavyotarajiwa, hivyo, ipo haja ya kuongeza jitahada zaidi ili kuweze kuitatua changamoto hio. Amefahamisha kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kuweka msisitizo mkubwa katika kuimarisha stadi za msingi za ujifunzaji, sambamba na kutambua umuhimu wa stadi za amali yaani ( VOCATIONAL TRAINING ) katika kukidhi mahitaji ya soko la ajira la sasa na baadae ndani na nje ya nchi. Aidha, Mhe. Hemed amesema Serikali kwa mwaka wa fedha 2025\/2026 imepanga kujenga madarasa 1,000 ambapo kwa sasa hatua hiyo inaendelea kwa kujenga Skuli za Ghorofa 13, katika maeneo mbalimbali nchini, ili kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani na kuondoa mikondomiwili ya uingiaji skuli kwa baadhi ya skuli ambazo bado zinaendelea na utaratibu huo. Kadhalika, Serikali imedhamiria kuajiri walimu 1,500 ili kuboresha uwiano wa walimu na wanafunzi jambo ambalo z linaonesha dhamira ya dhati ya Serikali ya kuimarisha obora wa elimu hapa nchini. Katika Mkutano huo, Mhe. Hemed amewataka washiriki kuendeleza ushirikiano wa karibu zaidi, baina ya Serikali, wadau wa maendeleo, walimu, wazazi na jamii kwa ujumla ili kuhakikisha kila mtoto anapata elimu bora yenye kumuwezesha kumudu stadi za msingi na kumjega kwa maisha yake ya baadae. Amewasihi kuutumia vyema mkutano huo kwa kujadiliana kwa kina, kubadilishana uzoefu, kutoa mapendekezo na suluhisho la kufikia malengo ya kuwa na wanafunzi wenye uwezo wa kujua kusoma, kuandika na kuhesabu wakiwa katika madarada ya awali Kwa upande wake Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. LELA MOHAMED MUSSA amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekuwa ikiekeza fedha nyingi katika sekta ya elimu kwa lenho lw kuimarisha na kuboresha miundombinu ya elimu na kuhakikisha wanafunzi wa Zanzibar wanapata elimu bora. Mhe. Lela amefahamisha kuwa kufanyika kwa mkutano huo kunatoa fursa kwa wadau mbalimbali wa sekta ya elimu kufanya tathmini ya mafanikio na changamoto zinazoikabili sekta ya elimu sambamba na kutafuta mbinu bora za kutatua changamoto hizo lakini pia kuimarisha ubora wa elimu nchini. Amesema kupitia mkutano huo mafanikio mbalimbali yamepatikana ikiwemo kujengwa kwa ofisi za elimu kila Wilaya pamoja na kuanzishwa program ya skuli connecting ambayo inaziunganisha skuli mbali mbali katika kufunza na kufundishia. Akizungumza kwa niaba ya Asasi za kiraia zinazofanya kazi Zanzibar chini ya mtandao wa elimu Zanzibar Bwana KAISAR MOHAMMED SAID amesema asasi za kiraia zimekuwa nguzo muhimu katika kuwajengea elimu watoto wa kizanzibari na kuleta mabadiliko ya kweli kupitia program bunifu na mbinu mbalimbali za kujifunzia bila ya kuwasahau wanafunzi wenye mahitaji maalumu. KaAISAR amefahamisha kuwa msingi wa elimu bora kwa wanafunzi unaanzia kwa kuwa na mashirikiano ya karibu kati ya wazazi, walimu, kamati za skuli na wizara ya elimu ambayo yatatoa matokeo chanya katika kuimarisha sekta ya elimu nchini. Amesema Asasi za Kiraia kwa kushirikiana na serikali na wadau wa elimu watahakikisha watoto wote wanapata fursa sawa za elimu na kuwajenga kuwa bora na wenye kukabiliana na changamoto zinapojitokeza. Imetolewa na Kitengo cha Habari WEMA<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":2399,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2397","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-latest_news"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2397","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=2397"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2397\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":2400,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2397\/revisions\/2400"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/2399"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=2397"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=2397"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=2397"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}