{"id":2031,"date":"2025-12-04T06:21:45","date_gmt":"2025-12-04T06:21:45","guid":{"rendered":"https:\/\/moez.go.tz\/?p=2031"},"modified":"2025-12-04T06:21:46","modified_gmt":"2025-12-04T06:21:46","slug":"ziara-za-ndani","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/moez.go.tz\/?p=2031","title":{"rendered":"ZIARA ZA NDANI"},"content":{"rendered":"\n<figure class=\"wp-block-image size-large\"><img fetchpriority=\"high\" decoding=\"async\" width=\"1024\" height=\"682\" src=\"https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2025\/12\/WhatsApp-Image-2025-12-03-at-13.26.17_550284f5-1024x682.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-2032\" srcset=\"https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2025\/12\/WhatsApp-Image-2025-12-03-at-13.26.17_550284f5-1024x682.jpg 1024w, https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2025\/12\/WhatsApp-Image-2025-12-03-at-13.26.17_550284f5-300x200.jpg 300w, https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2025\/12\/WhatsApp-Image-2025-12-03-at-13.26.17_550284f5-768x512.jpg 768w, https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2025\/12\/WhatsApp-Image-2025-12-03-at-13.26.17_550284f5-1536x1024.jpg 1536w, https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2025\/12\/WhatsApp-Image-2025-12-03-at-13.26.17_550284f5-2048x1365.jpg 2048w, https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2025\/12\/WhatsApp-Image-2025-12-03-at-13.26.17_550284f5-18x12.jpg 18w, https:\/\/moez.go.tz\/wp-content\/uploads\/2025\/12\/WhatsApp-Image-2025-12-03-at-13.26.17_550284f5-1200x800.jpg 1200w\" sizes=\"(max-width: 1024px) 100vw, 1024px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-fe30b6169ce0601bf59f1cf388e815f3 wp-block-paragraph\">Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mheshimiwa Lela Muhamed Mussa na Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Khadija Salum Ali wamefanya ziara ya kuzitembelea Taasisi ya Wizara hiyo zikiwemo Idara ya Michezo na Utamaduni na Baraza la Mitihani Zanzibar zilizopo chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-34b2b56e10ae0c9155ae05a7583f9808 wp-block-paragraph\">Lengo la ziara hiyo ni kuzikagua Taasisi, Vitengo na Idara ambazo zipo chini ya Wizara hiyo kwa lengo la kuzitambua na kujitambulisha kwa Watendaji hao, sambamba na kuelewa mafanikio na changamoto zilizopo katika Taasisi hizo ili ziweze kuongeza ufanisi katika Utendaji wa majukumu yao ya kila siku.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-ea6939e061d3b6f5357dc25e6d647659 wp-block-paragraph\">Mhe. Lela amesema Wizara ya elimu ina jukumu kubwa la kuinyanyua Sekta ya Elimu na Utamaduni hivyo hakuna budi kwa watendaji hao kufanya kazi kwa jitihada kubwa ili kufikia maazimio ya Serikali ya kuona kwamba Elimu inaendelea kuwa kipaombele cha Taifa ili kujenga taifa liloimara na linaloendana na mabadiliko ya Teknolojia yanaoyokwenda sambamba na mabadiliko ya Dunia.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-50c44d68b5d7fcf5b368f66a9e49a293 wp-block-paragraph\">Kwa upande wake Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ndg. Khadija Salum Ali amewataka watendaji hao kuendeleza mashirikiano na kufuata sheria na miongozo iliyopo katika Idara zao pamoja na kufanya kazi kwa bidii, na Viongozi wa Wizara hiyo wako tayari kuwa karibu na kusikiliza changamoto zote na kuweza kuzitatua kwa mashirikiano ya pamoja hatua kwa hatua.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-69e6515d60732ee971ece0b6855077c8 wp-block-paragraph\">Nae Naibu Katibu Mkuu Utawala, Ndg. Amos John Henock ameahidi kufanya kazi kwa pamoja na Watendaji wote na wasisite kushirikiana na viongozi wakuu wa Wizara hiyo katika kila changamoto zinazowakabili ili ziweze kutatuliwa kwa muda sahihi.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-5b20aa18251c16dd55218035132e900a wp-block-paragraph\">Kwa upande wao watendaji wa Idara ya Michezo na Utamaduni pamoja na watendaji wa Baraza la mitihani wameushukuru Uongozi wa Wizara hiyo kwa kuweza kuwafikia na kuwasikiliza jambo ambalo limewapa fursa ya kutoa changamoto zao na wameahidi kuendeleza kufanya kazi kwa mashirikiano, bidii na kwa ufanisi mkubwa.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-ff67f1cd1d86c8fc8958f4fc55493168 wp-block-paragraph\">Imetolewa na Kitengo cha Habari na Uhusiano &#8211; WEMA.<br>Tarehe&nbsp;02\/12\/2025.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mheshimiwa Lela Muhamed Mussa na Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Khadija Salum Ali wamefanya ziara ya kuzitembelea Taasisi ya Wizara hiyo zikiwemo Idara ya Michezo na Utamaduni na Baraza la Mitihani Zanzibar zilizopo chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Lengo la ziara hiyo ni kuzikagua Taasisi, Vitengo na Idara ambazo zipo chini ya Wizara hiyo kwa lengo la kuzitambua na kujitambulisha kwa Watendaji hao, sambamba na kuelewa mafanikio na changamoto zilizopo katika Taasisi hizo ili ziweze kuongeza ufanisi katika Utendaji wa majukumu yao ya kila siku. Mhe. Lela amesema Wizara ya elimu ina jukumu kubwa la kuinyanyua Sekta ya Elimu na Utamaduni hivyo hakuna budi kwa watendaji hao kufanya kazi kwa jitihada kubwa ili kufikia maazimio ya Serikali ya kuona kwamba Elimu inaendelea kuwa kipaombele cha Taifa ili kujenga taifa liloimara na linaloendana na mabadiliko ya Teknolojia yanaoyokwenda sambamba na mabadiliko ya Dunia. Kwa upande wake Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ndg. Khadija Salum Ali amewataka watendaji hao kuendeleza mashirikiano na kufuata sheria na miongozo iliyopo katika Idara zao pamoja na kufanya kazi kwa bidii, na Viongozi wa Wizara hiyo wako tayari kuwa karibu na kusikiliza changamoto zote na kuweza kuzitatua kwa mashirikiano ya pamoja hatua kwa hatua. Nae Naibu Katibu Mkuu Utawala, Ndg. Amos John Henock ameahidi kufanya kazi kwa pamoja na Watendaji wote na wasisite kushirikiana na viongozi wakuu wa Wizara hiyo katika kila changamoto zinazowakabili ili ziweze kutatuliwa kwa muda sahihi. Kwa upande wao watendaji wa Idara ya Michezo na Utamaduni pamoja na watendaji wa Baraza la mitihani wameushukuru Uongozi wa Wizara hiyo kwa kuweza kuwafikia na kuwasikiliza jambo ambalo limewapa fursa ya kutoa changamoto zao na wameahidi kuendeleza kufanya kazi kwa mashirikiano, bidii na kwa ufanisi mkubwa. Imetolewa na Kitengo cha Habari na Uhusiano &#8211; WEMA.Tarehe&nbsp;02\/12\/2025.<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":2033,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2031","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-latest_news"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2031","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=2031"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2031\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":2034,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/2031\/revisions\/2034"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/2033"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=2031"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=2031"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=2031"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}