{"id":1915,"date":"2025-11-22T14:18:27","date_gmt":"2025-11-22T14:18:27","guid":{"rendered":"https:\/\/moez.go.tz\/?p=1915"},"modified":"2025-11-22T14:18:28","modified_gmt":"2025-11-22T14:18:28","slug":"serikali-yasisitiza-uzalendo-katika-matumizi-ya-tehama","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/moez.go.tz\/?p=1915","title":{"rendered":"SERIKALI YASISITIZA UZALENDO KATIKA MATUMIZI YA TEHAMA"},"content":{"rendered":"\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-092bd5c03e6824dce810b794f434b056 wp-block-paragraph\">Serikali imetowa wito kwa jamii hususan vijana kuweka uzalendo mbele katika matumizi ya teknolojia kwa maendeleo ya taifa letu na vizazi vinavyokuja. Wito huo umetolewa na Mheshimiwa Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Mahamoud Thabit Kombo kwa njia ya mtandao wakati wa kufunga mafunzo ya siku kumi ya kuimarisha umahiri wa TEHAMA, hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nkrumah kiliopo Mfenesini, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-a664d9ea1afa8c89b1eb578d5af1188d wp-block-paragraph\">Aidha Dkt. Kombo amesema; \u201cLeo ni siku ya heshima kuu kwangu kushiriki nanyi katika kufunga rasmi programu muhimu ya maendeleo ya kitaaluma katika Chuo cha Mafunzo ya Ualimu. Tangu tarehe 10 hadi 21 Novemba 2025, walimu 35 wa sekondari na maafisa wa TEHAMA wamepata mafunzo makubwa na ya kubadilisha mtazamo, wakiboresha ujuzi wao na uwezo wa kulitumikia taifa letu.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-left has-black-color has-text-color has-link-color wp-elements-aa5be9cc72a32aa6a517b5fb96ce39d1 wp-block-paragraph\">Ninatoa shukrani za dhati kwa washirika wetu wote waliowezesha kufanyika kwa programu hii. Tulianza safari hii nilipokuwa\u00a0Balozi.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Serikali imetowa wito kwa jamii hususan vijana kuweka uzalendo mbele katika matumizi ya teknolojia kwa maendeleo ya taifa letu na vizazi vinavyokuja. Wito huo umetolewa na Mheshimiwa Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Mahamoud Thabit Kombo kwa njia ya mtandao wakati wa kufunga mafunzo ya siku kumi ya kuimarisha umahiri wa TEHAMA, hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nkrumah kiliopo Mfenesini, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Aidha Dkt. Kombo amesema; \u201cLeo ni siku ya heshima kuu kwangu kushiriki nanyi katika kufunga rasmi programu muhimu ya maendeleo ya kitaaluma katika Chuo cha Mafunzo ya Ualimu. Tangu tarehe 10 hadi 21 Novemba 2025, walimu 35 wa sekondari na maafisa wa TEHAMA wamepata mafunzo makubwa na ya kubadilisha mtazamo, wakiboresha ujuzi wao na uwezo wa kulitumikia taifa letu. Ninatoa shukrani za dhati kwa washirika wetu wote waliowezesha kufanyika kwa programu hii. Tulianza safari hii nilipokuwa\u00a0Balozi.<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":1916,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1915","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-latest_news"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/1915","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=1915"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/1915\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":1917,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/1915\/revisions\/1917"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/1916"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=1915"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=1915"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/moez.go.tz\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=1915"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}