Title Image

View GalleryAll Categories


MATOKEO YA MITIHANI DARASA LA SABA NA KIDATO CHA PILI 2014
Image 1

MATOKEO YA MITIHANI DARASA LA SABA NA KIDATO CHA PILI 2014 : Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali - Zanzibar Mhe. Ali Juma Shamuhuna pamoja na Viongozi wengine wa WEMA akitoa muhutasari wa matokeo ya darasa la saba na kidato cha pili kwa mwaka 2014

UZINDUZI WA KONGAMANO LA KUSOMA TZ21
Image 2

UZINDUZI WA KONGAMANO LA KUSOMA TZ21 : Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Ali Juma Shamuhuna akihutubia wanasemina katika ufunguzi wa kongamano la kusoma

WANAFUNZI WA SKULI YA MSINGI MWANAKWEREKWE C
Image 3

WANAFUNZI WA SKULI YA MSINGI MWANAKWEREKWE C : Wanafunzi wakiwa katika Sherehe za Uzinduzi wa Mradi TZ21

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM
Image 4

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM : Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa ICT Omar Said Ali wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Studio katika Kituo cha Elimu ya Habari akiwa na Viongozi aliofuatana nao baada ya kuzindua

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM
Image 5

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi aliofuatana nao wakipata maelezo kutoka kwa Fatuma Ahmed,wakati alipotembelea Chumba cha Studio baada ya kufanya uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Habari katika Elimu tareh

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM
Image 6

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Habari katika Elimu tarehe 11/01/2017,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo

UFUNGUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA
Image 7

UFUNGUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuizindua Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Habari katika Elimu tarehe 11/01/2017,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA) ikiwa

WAJUMBE WA KAMATI YA USTAWI WA JAMII
Image 8

WAJUMBE WA KAMATI YA USTAWI WA JAMII : Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii wa Baraza la Wawakilishi pamoja na Watendaji wa Wizara katika kikao cha Majumisho ya ziara yao 23/01/2017 na 26/01/2017

UZINDUZI WA KITABU CHA MSANII HAJI GORA
Image 9

UZINDUZI WA KITABU CHA MSANII HAJI GORA : Mwandshi wa Kitabu cha MAISHA YA HAJI GORA Mhe. Ally Saleh Mbunge wa Malindi Unguja akiweka saini katika Kitabu hicho mbele ya Watendaji wa Idara ya TEHAMA katika Elimu wakati wa hafla ya uzinduzi wa kitabu hicho. Kushotoni kwake ni Ndugu Ahmad Ali Mohamed Afisa Uendeshaji na Mipango na kuliani kwak

UZINDUZI WA KITABU CHA MSANII HAJI GORA
Image 10

UZINDUZI WA KITABU CHA MSANII HAJI GORA : Mkurugenzi Idara ya Elimu Sekondari Ndugu Asya Iddi akihutubia katika hafla fupi ya kuzindua Kitabu cha MAISHA YA HAJI GORA kilichoandikwa na Mhe. Ally Saleh (mwanzo kulia) Mbunge wa Malindi Unguja.

MKURUGENZI AKABIDHI TELEVISHENI NA MAGODORO KWA SHEHA WA SHEHIA YA KIL
Image 11

MKURUGENZI AKABIDHI TELEVISHENI NA MAGODORO KWA SHEHA WA SHEHIA YA KIL : Mkurugenzi Idara ya Elimu ya Maandalizi na Msingi Bi. Safia A. Rijaa akimkabidhi Sheha wa Shehia ya Kilombero Wila ya Kaskazini “A” Unguja Bw. Moh’d haji Faki seti ya Televisheni na Magodoro kwa niaba ya Skuli na Wananchi wa Mgonjoni iliopo katika Shehia hiyo

MAKABIDHIANO YA TELEVISHENI NA MAGODORO BAINA MWENYEKITI WA IKHLAS CHA
Image 12

MAKABIDHIANO YA TELEVISHENI NA MAGODORO BAINA MWENYEKITI WA IKHLAS CHA : Mwenyekiti Mwenza wa Ikhlas Charetable Group Shekh Mohamed Suleiman Ali akimkabidhi Mkurugenzi Idara ya Elimu ya Maandalizi na Msingi Bi. Safia Ali Rijaal seti ya Televisheni na Magodoro kwa ajili ya Skuli na Wananchi wa Mgonjoni iliopo Shehia ya Kilombero Wilaya Kaskazini “A” Unguja.

TAMASHA LA ELIMU BILA MALIPO
Image 13

TAMASHA LA ELIMU BILA MALIPO : VIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR WAKIWA KATIKA SHEREHE ZA ELIMU BILA MALIPO ZILIFANYIKA KISIWANI PEMBA.

WANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA 2017
Image 14

WANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA 2017 : PICHA YA PAMOJA YA WANAFUNZI BORA KATI YA KUMI BORA WA KIDATO CHA SITA 2017 (WALIOSIMAMA KUTOKA KULIA NI WA KUMI KATI YA KUMI BORA WANAUME KATIKA MASOMO YA SAYANSI, WA KATI NI WA NANE KATI YA KUMI BORA KATIKA MASOMO YA BIASHARA, WA KWANZA KUTOKA KUSHOTO NI WA KUMI KATI YA KUMI BORA WANAUME KATIKA MA

WANAFUNZI BORA KIDATO CHA KWANZA 2017 SKULI YA FUONI SEKONDARI
Image 15

WANAFUNZI BORA KIDATO CHA KWANZA 2017 SKULI YA FUONI SEKONDARI : WASHINDI WATATU BORA WA MUHULA WA KWANZA KIDATO CHA KWANZA SKULI YA FUONI SEKONDARI (KULIA NI MW: MKUU, WA PILI KUSHOTO NI MWALIMU WA DARASA)

ZIARA YA KIMASOMO KWA WALIMU WA TEHAMA DARASA LA TANO NA LA SITA
Image 16

ZIARA YA KIMASOMO KWA WALIMU WA TEHAMA DARASA LA TANO NA LA SITA : WALIMU WA TEHAMA WA DARASA LA TANO NA LA SITA WAFANYA ZIARA YA KIMASOMO KITUO CHA HABARI KATIKA ELIMU KWARARA.

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
Image 17

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI : NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI, MMANGA MJENGO MJAWIRI, AKISALIMIANA NA WANAFUNZI WA SKULI YA MTENDE KATIKA ZIARA ANAYOENDELEA KUIFANYA KATIKA SKULI ZA UNGUJA IKIWA NA LENGO LA KUANGALIA HALI HALISI YA UFUNDISHAJI NA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WALIMU (PICHA ALOVAA KOTI NA WANAFUNZ

Walimu wa Sayansi kutoka Nigeria wawasili Zanzibar
Image 18

Walimu wa Sayansi kutoka Nigeria wawasili Zanzibar : Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma akiwa katika picha ya pamoja kati yake na Walimu wa Sayansi kutoka nchini Nigeria

UWASILISHAJI WA SHUGHULI ZA WIZARA IKULU ZANZIBAR
Image 19

UWASILISHAJI WA SHUGHULI ZA WIZARA IKULU ZANZIBAR : Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akiwa pamoja na Naibu Waziri wake Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri wakati wa uwasilishaji wa shughuli za Wizara huko Ikulu Zanzibar

Walimu wakiwa semina elekezi ya Mitihani
Image 20

Walimu wakiwa semina elekezi ya Mitihani : Walimu kutoka skuli za Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakiwa katika semina elekezi ya wasimamizi wa mitihani ya Taifa ya darasa la nne huko skuli ya Mahonda.