Title Image
TANGAZO LA USAILI KWA WALIOMBA NAFASI ZA UKUFUNZI WA MUDA (PART TIME TRAINER)

Idara ya Mafunzo ya Ualimu kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) itaendesha usaili kwa walimu wote waliomba nafasi ya ukufunzi wa masomo ya Sayansi, Hisabati, ICT na Kiengereza chini ya mradi wa ZISP. Usaili huo utafanyika siku ya Jumatano ya tarehe 10/01/2018 katika ukumbi wa NTRC Beitras kwa Unguja na SUZA compass ya Mchangamdogo kwa Pemba saa mbili kamili asubuhi. Orodha ya majina ya waombaji hao inapatikana katika mbao za matangazo za Idara ya Mafunzo ya Ualimu Unguja na Pemba, katika kumbi za kufanyia usali na katika tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ambayo ni: www.moez.go.tz

Orodha kamili kwa TANGAZO LA WAOMBAJIKWA UNGUJAna ile ya TANGAZO LA WAOMBAJI KWA PEMBA