Title Image
MATOKEO YA MKOPO AWAMU YA TATU

 

BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU ZANZIBAR (BMEJZ) INAWATANGAZIA MAJINA YA AWAMU YA TATU WALIOTEULIWA KUPATA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KATIKA MWAKA WA MASOMO 2017/18

WANAFUNZI WALIOTEULIWA KUPATA MKOPO NGAZI YA SHAHADA YA KWANZA
WANAFUNZI WALIOTEULIWA KUPATA MKOPO NGAZI YA SHAHADA YA PILI

WAOMBAJI WOTE WALIOTEULIWA WANATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO:

  1. KILA MWOMBAJI LAZIMA AJAZE MKATABA WA MKOPO UNAOPATIKANA KATIKA OFISI ZA BMEJZ. HAKUNA MWANAFUNZI ATAKAYEFANYIWA MALIPO BILA YA KUJAZA MKATABA WA MKOPO.
  2. MWOMBAJI ALIYEPATA MKOPO KUTOKA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TANZANIA (HESLB) ATAFUTWA KATIKA ORODHA YA WAOMBAJI WALIOPATIWA MIKOPO NA BMEJZ ILI KUEPUSHA MWOMBAJI MMOJA KUPATA MIKOPO KUTOKA BODI ZOTE MBILI KWA WAKATI MMOJA.
  3. MIKOPO INAYOTOLEWA NA BMEJZ KWA WAOMBAJI WAPYA WA MWAKA WA MASOMO 2017/18 HAIWAHUSU WAAJIRIWA WA TAASISI ZA SERIKALI (SMZ NA SMT).


TANBIHI:

KWA UFAFANUZI WA SUALA LOLOTE LINALOHUSU MIKOPO WASILIANA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU ZANZIBAR

UNGUJA

JENGO LA MAJESTIC GHOROFA YA PILI - VUGA
Simu: +255 24 223 6847
Email: info@zhelb.go.tz

PEMBA

JENGO LA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI - PEMBA
Simu: +255 24 245 2926
Email: infopba@zhelb.go.tz