Title Image
MATOKEO YA MKOPO AWAMU YA KWANZA

 

BODI YA MIKOPO YA ELIMU JUU ZANZIBAR INAWATANGAZIA WANAFUNZI WALIOTEULIWA KUPATA MKOPO MWAKA WA MASOMO 2017/2018 - AWAMU YA KWANZA

WANAFUNZI WALIOFADHILIWA NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR (SMZ)
WANAFUNZI WALIOTEULIWA KUPATA MKOPO NGAZI YA SHAHADA YA KWANZA (BACHELOR DEGREE)
WANAFUNZI WALIOTEULIWA KUPATA MKOPO NGAZI YA SHAHADA YA PILI (MASTER DEGREE)
WANAFUNZI WALIOTEULIWA KUPATA MKOPO NGAZI YA PHD

TANBIHI:

KWA UFAFANUZI WA SUALA LOLOTE LINALOHUSU MIKOPO WASILIANA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU ZANZIBAR

UNGUJA

JENGO LA MAJESTIC GHOROFA YA PILI - VUGA
Simu: +255 24 223 6847
Email: info@zhelb.go.tz

PEMBA

JENGO LA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI - PEMBA
Simu: +255 24 245 2926
Email: infopba@zhelb.go.tz