Title Image

View GalleryAll Categories


WANAFUNZI WA SKULI YA MSINGI MWANAKWEREKWE C
Image 1

WANAFUNZI WA SKULI YA MSINGI MWANAKWEREKWE C : Wanafunzi wakiwa katika Sherehe za Uzinduzi wa Mradi TZ21

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM
Image 2

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM : Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa ICT Omar Said Ali wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Studio katika Kituo cha Elimu ya Habari akiwa na Viongozi aliofuatana nao baada ya kuzindua

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM
Image 3

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi aliofuatana nao wakipata maelezo kutoka kwa Fatuma Ahmed,wakati alipotembelea Chumba cha Studio baada ya kufanya uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Habari katika Elimu tareh

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM
Image 4

UZINDUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA NA KITUO CHA HABARI KATIKA ELIM : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Habari katika Elimu tarehe 11/01/2017,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo

UFUNGUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA
Image 5

UFUNGUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuizindua Skuli ya Sekondari ya Kwarara na Kituo cha Habari katika Elimu tarehe 11/01/2017,iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA) ikiwa

UZINDUZI WA KITABU CHA MSANII HAJI GORA
Image 6

UZINDUZI WA KITABU CHA MSANII HAJI GORA : Mwandshi wa Kitabu cha MAISHA YA HAJI GORA Mhe. Ally Saleh Mbunge wa Malindi Unguja akiweka saini katika Kitabu hicho mbele ya Watendaji wa Idara ya TEHAMA katika Elimu wakati wa hafla ya uzinduzi wa kitabu hicho. Kushotoni kwake ni Ndugu Ahmad Ali Mohamed Afisa Uendeshaji na Mipango na kuliani kwak

TAMASHA LA ELIMU BILA MALIPO
Image 7

TAMASHA LA ELIMU BILA MALIPO : VIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR WAKIWA KATIKA SHEREHE ZA ELIMU BILA MALIPO ZILIFANYIKA KISIWANI PEMBA.

WANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA 2017
Image 8

WANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA 2017 : PICHA YA PAMOJA YA WANAFUNZI BORA KATI YA KUMI BORA WA KIDATO CHA SITA 2017 (WALIOSIMAMA KUTOKA KULIA NI WA KUMI KATI YA KUMI BORA WANAUME KATIKA MASOMO YA SAYANSI, WA KATI NI WA NANE KATI YA KUMI BORA KATIKA MASOMO YA BIASHARA, WA KWANZA KUTOKA KUSHOTO NI WA KUMI KATI YA KUMI BORA WANAUME KATIKA MA

WANAFUNZI BORA KIDATO CHA KWANZA 2017 SKULI YA FUONI SEKONDARI
Image 9

WANAFUNZI BORA KIDATO CHA KWANZA 2017 SKULI YA FUONI SEKONDARI : WASHINDI WATATU BORA WA MUHULA WA KWANZA KIDATO CHA KWANZA SKULI YA FUONI SEKONDARI (KULIA NI MW: MKUU, WA PILI KUSHOTO NI MWALIMU WA DARASA)

ZIARA YA KIMASOMO KWA WALIMU WA TEHAMA DARASA LA TANO NA LA SITA
Image 10

ZIARA YA KIMASOMO KWA WALIMU WA TEHAMA DARASA LA TANO NA LA SITA : WALIMU WA TEHAMA WA DARASA LA TANO NA LA SITA WAFANYA ZIARA YA KIMASOMO KITUO CHA HABARI KATIKA ELIMU KWARARA.

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
Image 11

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI : NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI, MMANGA MJENGO MJAWIRI, AKISALIMIANA NA WANAFUNZI WA SKULI YA MTENDE KATIKA ZIARA ANAYOENDELEA KUIFANYA KATIKA SKULI ZA UNGUJA IKIWA NA LENGO LA KUANGALIA HALI HALISI YA UFUNDISHAJI NA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WALIMU (PICHA ALOVAA KOTI NA WANAFUNZ

UWASILISHAJI WA SHUGHULI ZA WIZARA IKULU ZANZIBAR
Image 12

UWASILISHAJI WA SHUGHULI ZA WIZARA IKULU ZANZIBAR : Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akiwa pamoja na Naibu Waziri wake Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri wakati wa uwasilishaji wa shughuli za Wizara huko Ikulu Zanzibar

Walimu wakiwa semina elekezi ya Mitihani
Image 13

Walimu wakiwa semina elekezi ya Mitihani : Walimu kutoka skuli za Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakiwa katika semina elekezi ya wasimamizi wa mitihani ya Taifa ya darasa la nne huko skuli ya Mahonda.

Walimu wakiwa katika semina elekezi ya Mitihani
Image 14

Walimu wakiwa katika semina elekezi ya Mitihani : Walimu wa Wilaya ya Kati wakiwa katika Semina elekezi juu usimamizi wa mtihani ya Taifa ya Darasa la nne,sita na Kidato cha pili mwaka 2017.

Walimu wakiwa katika semina elekezi ya Mitihani
Image 15

Walimu wakiwa katika semina elekezi ya Mitihani : Walimu wakiwa semina elekezi ya Mitihani : Walimu kutoka skuli za Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakiwa katika semina elekezi ya wasimamizi wa mitihani ya Taifa ya darasa la sita huko skuli ya Mahonda.

Walimu wasisitizwa kujali muda wa kazi na Umakini
Image 16

Walimu wasisitizwa kujali muda wa kazi na Umakini : Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Mhe, Mmanga Mjengo Mjawiri amewasisitiza Walimu kujali muda wa kazi, Umakini, Kutunza siri na uaminifu katika mitihani itakayoanza hivi karibuni katika skuli za Unguja na Pemba.

WASHIRIKI WA MAFUNZO YA TEHAMA KITUO CHA SKULI YA SEKONDARI KWARARA
Image 17

WASHIRIKI WA MAFUNZO YA TEHAMA KITUO CHA SKULI YA SEKONDARI KWARARA : Washiriki wa mafunzo TEHAMA huko Kwarara wakiwa katika picha ya pamoja, wa mwanzo kutoka kushoto ni Mkufunzi wa mafunzo hayo Ndugu Omar Salum Saleh na wapili kutoka kushoto ni Mkurugenzi Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Elimu Ndugu Omar Said Ali.

Watahiniwa wa Darasa la nne
Image 18

Watahiniwa wa Darasa la nne : Wanafunzi wa darasa la nne skuli ya msingi Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba wakifanya mtihani wa taifa darasa nne.

TATHMINI YA MWAKA MMOJA YA MRADI WA TUSOME PAMOJA
Image 19

TATHMINI YA MWAKA MMOJA YA MRADI WA TUSOME PAMOJA : Ujmbe wa watu watano kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali- Zanzibar wakiongozwa na Afisa Mdhamini Elimu na Mafunzo ya Amali Ndugu Salim Kitwana Sururu wa kwanza (kushoto) wakishiriki mkutano wa kutathmini utekelezaji wa mradi wa Tusome Pamoja unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Marekani (

Graduation ya walimu waliohitimu mafunzo ya kufundisha madarasa ya maa
Image 20

Graduation ya walimu waliohitimu mafunzo ya kufundisha madarasa ya maa : Katibu Mkuu kwa niaba ya Mh Waziri wa Elimu akimkabidhi cheti mwalimu wa maandalizi kilichotolewa na Madrasa Early Childhood Programme