Title Image

NAFASI ZA MASOMO SUDAN

Posted: 2018-02-14 02:24:14

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali inatangaza nafasi za masomo za nchini Sudan, katika Chuo cha  Africa  kwa kiwango cha Shahada ya Kwanza zinazotolewa na Munazzamat Al- Da’wa Al-Islamiyya mwaka wa masomo 2018/19
Muombaji awe amefaulu agalau kiwango cha daraja la pili kwa masomo ya O’ level. 

Fomu za maombi zitaanza kupatikanA kuanzia tarehe 19/02/2018 mpaka tarehe 01/03/2018, hapo Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, chumba namba 57.
Usaili wa ana kwa ana (Oral interview) utafanyika tarehe 10/03/2018 na utatakiwa kufika na “original certificates”. Results slip hazitokubalika.

Fani za masomo ni :

 1. MEDICINE
 2. ORAL AND DENTAL MEDICINE
 3. PHARMACY
 4. NURSING SCIENCES (FEMALE ONLY)
 5. MEDICAL LABORATORY SCIENCE
 6. ENGINEERING( ELECTRICAL,MECHANICAL,TELECOMUNICATIONS,COMPUTER,SYSTEM &CONTROL
 7. COMPUTER STUDIES
 8. PURE AND APPLIED SCIENCE
 9. MINERALS AND PETROLEUM (MALE ONLY)
 10. AGRICULTURE SCIENCES AND VETERINARY
 11. FAMILY SCIENCES , COMMUNITY DEVELOPMENT (FEMALE ONLY)
 12. ECONOMY AND POLITICAL SCIENCE
 13. ACCOUNTS, INFORMATION SYSTEM MANAGEMENT, BUSINESS MANAGEMENT
 14. RADIO &TV, CULTURE AND PUBLISHING, PUBLIC RELATIONS AND ADVERTISEMENT.
 15. GEOGRAPHY, HISTORY, GENERAL PSYCHOLOGY, LIBRARY AND INFORMATION SCIENCE
 16. EDUCATION ARTS SECTION: EDUCATIONAL ADMINISTRATION TRCHNOLOGIES,CURRICULUM &METHODS OF TEACHING, FUNDAMENTAL OF EDUCATION &PSYCHOLOGY, GENERAL EDUCATION PSYCHOLOGY. BIOLOGY AND CHEMISTRY SECTION (FEMALE ONLY) PHYSICS AND MATHS SECTION (FEMALE ONLY)

KWA MAELEZO ZAIDI FIKA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI, KITENGO CHA URATIBU WA ELIMU YA JUU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA, CHUMBA NAMBA 57.